• HABARI MPYA

  Saturday, December 17, 2016

  BEKI WA JKT RUVU ALIVYOIFUNGULIA BIASHARA NZURI YANGA LEO

  Beki wa JKT Ruvu, Michael Aidan Pius akimzidi winga wa Yanga, Deus Kaseke kuiwahi krosi ya Simon Msuva kuifungia timu ya Jangwani bao la kwanza katika ushindi wa 3-0 jioni ya leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.   
  Kaseke hakufanikiwa kuugusa mpira na Michael Aidan akajifunga kuifungulia biashara nzuri Yanga ya ushindi wa 3-0 
  Kaseke akiwa amemuangukia Michael Aidan aliyejaribu bila mafanikio kuuwahi mpira usiingie nyavuni
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEKI WA JKT RUVU ALIVYOIFUNGULIA BIASHARA NZURI YANGA LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top