• HABARI MPYA

    Saturday, December 10, 2016

    BARCELONA YAITANDIKA OSASUNA 3-0 LA LIGA

    Samuel Umtiti wa Barcelona akimtoka Oriol Riera wa Osasuna katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa El Sadar, Pamplona mjini Irunea. Barca imeshinda 3-0 mabao ya Luis Suarez dakika ya 59 na Lionel Messi mawili dakika ya 72 na 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAITANDIKA OSASUNA 3-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top