• HABARI MPYA

  Saturday, December 17, 2016

  AUBAMEYANG AIOKOA DORTMUND KUPIGWA BUNDESLIGA

  Pierre-Emerick Aubameyang (kulia) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Borussia Dortmund bao la kusawazisha katika sare ya 2-2 na wenyeji, Hoffenheim usiku wa jana kwenye mchezo wa Bundesliga dakika ya 48 Uwanja wa Wirsol Rhein-Neckar-Arena mjini Sinsheim. Bao lingine Dortmund iliyocheza pungufu baada ya Marco Reus kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 41, lilifungwa na Mario Gotze dakika ya 11 wakati ya Hoffenheim yalifungwa na Mark Uth dakika ya tatu na Sandro Wagner dakika ya 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG AIOKOA DORTMUND KUPIGWA BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top