• HABARI MPYA

    Sunday, December 04, 2016

    ARSENAL YAWATANDIKA 5-1 WEST HAM LONDON

    Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Arsenal katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United usiku wa Jumamosi Uwanja wa London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Mesut Ozil na Alex Oxlade-Chamberlain, wakati bao la wenyeji lilifungwa na Andy Carroll PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAWATANDIKA 5-1 WEST HAM LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top