• HABARI MPYA

    Wednesday, December 07, 2016

    ARSENAL YAONGOZA KUNDI LIGI YA MABINGWA BAADA YA USHINDI WA 4-1

    Kieran Gibbs (katikati), akiwa na shujaa wa mabao matatu ya Arsenal, Lucas Perez (kushoto) katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, FC Basle usiku wa jana Uwanja wa St. Jakob-Park mjini Basel kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Alex Iwobi, wakati la wenyeji lilifungwa na Seydou Doumbia na kwa matokeo hayo The Gunners wanamaliza kileleni kwa pointi zao 14, mbili zaidi ya PSG waliomaliza nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAONGOZA KUNDI LIGI YA MABINGWA BAADA YA USHINDI WA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top