• HABARI MPYA

    Friday, November 11, 2016

    YANGA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA 'SHAMBA LA BIBI'

    Winga wa Yanga, Simon Msuva akiupigia hesabu mpira mbele ya wachezaji wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1
    Beki wa Ruvu Shooting,  Shaibu Nayopa (kulia) akiokoa mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto)
    Nayopa (kulia) akitafuta maarifa ya kumpokonya mpira mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto)
    Kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga (kushoto) akimpita kiungo wa Ruvu, Issa Kanduru
    Beki wa Yanga, Andrew Vincent akiwania mpira wa juu dhidi ya mshambuliaji wa Ruvu, Fully Zulu Maganga 
    Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chiwa (kushoto) akimpira beki wa Ruvu, Renatus Kisase
    Beki wa Ruvu, Mau Ally Bofu (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beii wa Yanga, Hassan Kessy
    Wafungaji wa mabao ya Yanga jana, Simon Msuva (kushoto) na Haruna Niyonzima (kulia) wakishangilia mbele ya wapicha piga wa vyombo mbalimbali vya Habari
    Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
    Kikosi cha Ruvu Shooting kabla ya kuanza kwa mchezo wa jana Uhuru  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA 'SHAMBA LA BIBI' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top