• HABARI MPYA

    Thursday, November 03, 2016

    YANGA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA SOKOINE

    Marefa wa mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya kati ya wenyeji Mbeya City dhidi ya Yanga SC ya Dar es Salaam wakitolewa kwa kusindikizwa na Polisi baada ya mechi hiyo. Mbeya City ilishinda 2-1
    Nahodha wa Mbeya City, Kenny Ally akimtoka mchezaji wa Yanga 
    Winga wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akimpita beki wa MbeyabCity, Rajab Zahir               
    Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akipiga hesabu jana Uwanja wa Sokoine
    Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akimiliki mpira mbele ya wachezaji wenzake
     Wachezaji wa Mbeya City wakimzonga refa        
     Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana
    Kikosi cha Mbeya kabla ya mchezo wa jana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top