• HABARI MPYA

    Monday, November 14, 2016

    WAZIRI NAPE AMKABIDHI BENDERA JULITHA KWENDA NIGERIA KUSHIRIKI MISS AFRIKA


    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kulia) akimkabidhi bendera ya taifa mrembo, Julitha Kabete leo ofisini kwake, Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kushiriki shindano la Miss Afrika mjini Calabar nchini Nigeria Novemba 28, mwaka huu

    Waziri Nape akiwa na wadau mbalimbali pamoja na Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto)  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZIRI NAPE AMKABIDHI BENDERA JULITHA KWENDA NIGERIA KUSHIRIKI MISS AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top