• HABARI MPYA

    Monday, November 14, 2016

    TAIFA STARS NA ZIMBABWE KATIKA PICHA JANA HARARE

    Beki Michael Aidan wa Tanzania akijiandaa kumtoka mchezaji wa Zimbabwe, Danny Phiri katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0. PICHA ZOTE NA ALFRED LUCAS WA TFF
    Beki wa Zimbabwe, Hadebe Teenage akiruka mbele ya mshambuliaji wa Tanzania, Elius Maguri kuwania mpira wa juu katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
    Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta (kushiti)  akimiliki mpira katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
    Mchezaji wa Zimbabwe akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Tanzania katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
    Mshambuliaji wsa Taifa Stars, Elius Maguri akichuana na beki wa Zimbabwe, Hadebe Teenage katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA ZIMBABWE KATIKA PICHA JANA HARARE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top