• HABARI MPYA

    Thursday, November 03, 2016

    SIMBA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA KAMBARAGE

    Beki wa Stand United, Job Ibrahim (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Mrundi Laudit Mavugo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. Simba ilishinda 1-0
     Laudit Mavugo akimuacha chini beki wa Stand United
    Mfungaji wa bao pekee la Simba jana, Shizza Kichuya (katikati) akishangiliaa na wenzke


    Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto (kushoto)  akijaribu kumpunguza kasi kiungo wa Stand United, Suleiman Kassim 'Selembe' 
    Kikosi cha Stand United kabla ya mchezo wa jana 
    Simba SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Kambarage
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA KAMBARAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top