• HABARI MPYA

    Friday, November 18, 2016

    SCHWEINSTEIGER WA MAN U AKABIDHIWA TUZO UJERUMANI

    Nyota wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger akiwa ameshikilia tuzo maalum ya Bambi aliyokabidhiwa jana mjini Munich Ujerumani kutokana na mchango wake timu ya taifa ya nchi hiyo kabla ya kustaafu Agosti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SCHWEINSTEIGER WA MAN U AKABIDHIWA TUZO UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top