• HABARI MPYA

  Thursday, November 17, 2016

  SANCHEZ APIGA MAWILI CHILE WAKIIBUTUA URUGUAY YA SUAREZ 3-1

  Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Uruguay kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Amerika Kusini leo Uwanja wa Taifa wa Julio Martínez Pradanos mjini Santiago, Chile. Bao lingine la Chile lilifungwa na Eduardo Vargas wakati la Uruguay lilifungwa na Edinson Cavani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ APIGA MAWILI CHILE WAKIIBUTUA URUGUAY YA SUAREZ 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top