• HABARI MPYA

  Wednesday, November 02, 2016

  PSG WASHINDA 2-1 DHIDI YA BASLE NA KWENDA 16 BORA


  Kipa wa FC Basle, Alphonse Areola akijaribu kuzuia mpira wa kichwa uliopigwa na Thomas Meunier wa PSG katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya jana. Mabao ya PSG yalifungwa na Blaise Matuidi dakika ya 43 na Thomas Meunier dakika ya 90, wakati bao la Basle lilifungwa na Luca Zuffi dakika ya 76  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG WASHINDA 2-1 DHIDI YA BASLE NA KWENDA 16 BORA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top