• HABARI MPYA

  Sunday, November 06, 2016

  PACQUIAO ASHINDA KWA POINTI NA KUBEBA TAJI LA 11 LA NDONDI

  Bondia Manny Pacquiao akishangilia baada ya ushindi wa pointi dhidi ya Jessie Vargas katika pambano la raundi 12 mjini Las Vegas asubuhi hii na kutwaa taji la WBO uzito wa Welter. Pacquiao aliyemdondosha chini Vargas raundi ya pili anafikisha miaka saba bila ushindi wa Knockout (KO) baada ya ushindi wa jana wa pointi, ingawa ameshinda taji la 11 kihistoria PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PACQUIAO ASHINDA KWA POINTI NA KUBEBA TAJI LA 11 LA NDONDI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top