• HABARI MPYA

    Monday, November 07, 2016

    MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YACHINJA 2-1 LA LIGA

    Nyota wa Barcelona, Lionel Messi na Luis Suarez wakishangilia baada ya wote kuifungia timu yao katika ushiundi wa 2-1 ugenini dhidi ya Sevilla usiku wa Jumapili kwenye mchezo wa La Liga. Bao la wenyeji lilifungwa na Vitolo Uwanja wa Sanchez Pizjuan PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI, SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA YACHINJA 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top