• HABARI MPYA

    Thursday, November 03, 2016

    MAN UNITED WAPIGWA 2-1 NA FENERBAHCE UTURUKI

    Mshambuliaji wa Fenerbahce, Moussa Sow akibinuka tik tak katikati ya mabeki wa kati wa Manchester United, Marcos Rojo na Daley Blind kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-1 leo kwenye mchezo wa Kundi A Europa League Uwanja wa Ulker Fenerbahçe Sukru Saracoglu Spor Kompleksi mjini İstanbul, Uturuki. Bao lingine la Fenerbahce lilifungwa na Jeremain Lens wakati la Man United lilifungwa na Nahodha, Wayne Rooney PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED WAPIGWA 2-1 NA FENERBAHCE UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top