• HABARI MPYA

    Saturday, November 05, 2016

    MAN CITY YANG'ANG'ANIWA ETIHAD, SARE 1-1 NA BORO

    Jesus Navas (kushoto) wa Manchester City akijaribu kumlamba chenga Adam Clayton wa Middlesbrough katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Etihad timu hizo zikitoka sare ya kufungana bao 1-1. Bao la City lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 43 kabla ya Marten Roon kuisawazishia Middlesbrough dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YANG'ANG'ANIWA ETIHAD, SARE 1-1 NA BORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top