• HABARI MPYA

    Saturday, November 19, 2016

    KIPRE TCHETCHE 'ANAVYOKINUKISHA' LIGI YA OMAN

    Mshambuliaji wa timu ya Al Suwaiq, Kipre Herman Tchetche (kulia) akimiliki mpira katika mechi dhidi ya Rustaq kwenye Ligi Kuu ya Oman Uwanja Seeb, Muscat katika sare ya 1-1, bao la timu yake akifunga yeye. Kipre amehamia timu hiyo ya Oman akitokea Azam FC ya Tanzania aliyoichezea tangu mwaka 2011
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIPRE TCHETCHE 'ANAVYOKINUKISHA' LIGI YA OMAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top