• HABARI MPYA

    Sunday, November 13, 2016

    KAPTENI SAMATTA ALIVYO TAYARI KWA KAZI TAIFA STARS LEO

    Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Taifa wa Harare, Zimbabwe kabla ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji leo kwenye Uwanja huo huo PICHA NA ALFRED LUCAS WA TFF
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAPTENI SAMATTA ALIVYO TAYARI KWA KAZI TAIFA STARS LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top