• HABARI MPYA

  Saturday, November 12, 2016

  CHEKA ULINGONI LEO HUNGARY KUWANIA UBINGWA WA WBO ULAYA

  Bondia Cossmas Cheka wa Tanzania (kushoto) akitunishiana msuli na Zaltan Kovacs wa Hungary jana mjini Budapest Hungary baada ya kupima uzito kwa ajili pambano la lao la leo ukumbi wa Conference Hall, Szekesfehervar kuwania ubingwa wa WBO Ulaya uzito wa Super Feather PICHA KWA HISANI YA MENEJA WA CHEKA, JUMA NDABILA 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHEKA ULINGONI LEO HUNGARY KUWANIA UBINGWA WA WBO ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top