• HABARI MPYA

    Friday, November 11, 2016

    BRAZIL 'YAIGIDA' 3-0 ARGENTINA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    Philippe Coutinho (kushoto) na Gabriel Jesus (kulia) wakishangilia na Neymar aliyefunga bao la pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Argentina kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Amerika Kusini leo Uwanja wa Governador Magalhaes Pinto mjini Belo Horizonte, Minas Gerais, Brazil. Mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Coutinho na Paulinho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BRAZIL 'YAIGIDA' 3-0 ARGENTINA KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top