• HABARI MPYA

    Sunday, November 06, 2016

    BALE AGONGA MBILI, REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA

    Gareth Bale akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Leganes kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu leo. Bao lingine la Madrid lilifungwa na Alvaro Morata dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AGONGA MBILI, REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top