• HABARI MPYA

  Saturday, November 19, 2016

  ARSENAL 'YANUSURIKA KIFO' KWA MAN UNITED

  Olivier Giroud akienda hewani kupiga mpira kwa kichwa kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 89 akimalizia krosi ya Alex Oxlade-Chamberlain, kufuatia Juan Mata kutangulia kuifungia Manchester United dakika ya 68 Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Kocha wa United, Mreno Jose Mourinho alikasirika na kufoka baada ya refa Andre Marriner kutotoa penalti kutokana na Antonio Valencia kuangushwa kwenye boksi na Nacho Monreal PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL 'YANUSURIKA KIFO' KWA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top