• HABARI MPYA

  Sunday, November 06, 2016

  AFRICAN LYON WAIKALISHA SIMBA 1-0 SHAMBA LA BIBI

  Mkurugenzi wa African Lyon, Rahim Kangezi 'Zamunda' (kushoto) akiwa amembeba beki wa timu yake, Hassan Isihaka baada ya mchezo dhidi ya Simba jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. African Lyon imeshinda 1-0 bao pekee la Abdallah Msuhi dakika ya 89.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AFRICAN LYON WAIKALISHA SIMBA 1-0 SHAMBA LA BIBI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top