• HABARI MPYA

  Tuesday, October 18, 2016

  YANGA WALIVYOWASILI MWANZA NIYONZIMA KANUNA ILE MBAYA!

  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili na kikosi chaa timu hiyo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Toto Africans
  Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili
  Beki Vincent Bossou akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili
  Beki Pato Ngonyani na mshambuliaji Obrey Chirwa nyuma wakitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili
  Meneja Vifaa, Mahamoud Omar 'Mpogolo' na Meneja wa Timu, Hafidh Saleh wakitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOWASILI MWANZA NIYONZIMA KANUNA ILE MBAYA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top