• HABARI MPYA

    Thursday, October 13, 2016

    YANGA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA

    Kiungo wa Mtibwa Sugar, Shaaban Nditi akiutelezea mpira kuondosha miguuni mwa winga wa Yanga SC, Geoffrey Mwashiuya jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1
    Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga jana, Obrey Chirwa akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, George Gabriel
    Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akijaribu kumpita beki wa Mtibwa, Cassian Ponera
    Mfungaji wa bao la pili la Yanga, Simon Msuva akiwatoka wachezaji wa Mtibwa
    Beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) akiwania mpira dhidi ya mfungaji wa bao pekee la Mtibwa jana
    Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akimuangukia kiungo wa Mtibwa Sugar, Ibrahim Rajab 'Jeba'
    Mfungaji wa bao la tatu la Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akigombea mpira na kiungo wa Mtibwa, Shaaban Nditi 
    Juma Abdul akimfunga tela Haroun Chanongo 
    Kikosi cha Yanga jana
    Kikosi cha Mtibwa Sugar jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top