• HABARI MPYA

  Sunday, October 09, 2016

  YANGA B ILIYOKWENDA KUIZINDUA TOTO AFRICANS 1973 DK DAU NDANI!

  Kikosi cha Yanga timu ya vijana ya Yanga, ambacho mwaka 1973 kilikwenda mjini Mwanza kwenye sherehe za mashindano ya uzinduzi wa timu ya Toto Africans, ambayo ni tawi la klabu hiyo mjini humo. Waliosimama kutoka kulia Mzee Kwala, Sululu, Chotta, Muhamed Mkweche, Muhamed Yahaya "Tostao" (anaechungulia jina lake halikupatikana) Kassim Manara na Shiraz Shariff (wawili wa mwisho majina yao hayakupatikana). Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Abdulrahman, Kibonge, Bilal Kabange, Muhamed Rishard Adolph, Mohammed Sengendo, Gordian Mapango, Jaffar Abdulrahman (wawili waliobaki majina yao hayakupatiakana na kati ya mmoja wao ni Dk Ramadhani Dau 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA B ILIYOKWENDA KUIZINDUA TOTO AFRICANS 1973 DK DAU NDANI! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top