• HABARI MPYA

  Saturday, October 15, 2016

  WALCOTT AFUNGA MAWILI ARSENAL IKISHINDA 3-2 ENGLAND

  Theo Walcott akienda hewani kushangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 26 na 33 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Swansea City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Arsenal iliyompoteza mchezaji wake, Granit Xhaka aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya70, lilifungwa na Mesut Ozil dakika ya 57 wakati ya Swansea yalifungwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 38 na Borja Baston dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WALCOTT AFUNGA MAWILI ARSENAL IKISHINDA 3-2 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top