• HABARI MPYA

  Sunday, October 09, 2016

  UJERUMANI YAWAFUMUA 3-0 CZECH KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Nyota wa Ujerumani, Thomas Mueller (kulia) na Jonas Hector wakishangiia bao la tatu la timu yao katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech usiku wa Jumamosi kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Volkspark mjini Hamburg. Mabao ya Ujerumani yalifungwa na Muller dakika za 13 na 65 wakati lingine lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAWAFUMUA 3-0 CZECH KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top