• HABARI MPYA

    Saturday, October 08, 2016

    UBELGIJI YAMPA MTU 4-0 NYUMBANI, HAZARD KAMA KAWA

    Eden Hazard akimlamba chenga mchezaji mwenzake wa Chelsea, kipa Asmir Begovic kuifungia Ubelgiji bao la pili dakika ya 26 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Bosnia-Herzegovina kwenye mchezo wa Kundi H usiku wa jana Uwanja Roi Baudouin mjini Brussel, Ubelgiji. Mabao mengine ya wenyeji yalifungwa na Emir Spahic aliyejifunga dakika ya 26, Toby Alderweireld dakika ya 60 na Romelu Lukaku dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UBELGIJI YAMPA MTU 4-0 NYUMBANI, HAZARD KAMA KAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top