• HABARI MPYA

  Sunday, October 16, 2016

  TUKUYU STARS ENZI HIZO SOKOINE HAPATOSHI

  Kikosi cha Tukuyu Stars ya Mbeya mwaka 1992 kutoka kushoto Mohamed Kassanda, Suleiman Mrisho, Assanga Aswile, Issah Mohamed, Pio Mwashitete, Jabir Mohamed ‘Jeby’ na Gamshad Gaudast. Waliochuchumaa ni Kanza Mrisho, Raphael Mapunda, Ikupilika Nkoba, Juma Ahmad, Chachala Muya, Robson, Daudi Kufakunoga na Michael Kidilu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TUKUYU STARS ENZI HIZO SOKOINE HAPATOSHI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top