• HABARI MPYA

    Wednesday, October 12, 2016

    STURRIDGE AKOSA BAO LA WAZI ENGLAND YABANWA SARE 0-0 NA SLOVENIA

    Mshambuliaji wa England, Daniel Sturridge akimzunguka kipa wa Slovenia, Jan Oblak katika mchezo wa Kundi F kufuzu Kombe ka Dunia mwaka 2018 Urusi, usiku huu Uwanja wa Stozice, Ljubljana kabla ya kukosa bao la wazi timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STURRIDGE AKOSA BAO LA WAZI ENGLAND YABANWA SARE 0-0 NA SLOVENIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top