• HABARI MPYA

    Friday, October 14, 2016

    SON HEUNG-MIN MCHEZAJI BORA WA MWEZI ENGLAND

    Mchezaji wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min akiwa ameshika tuzo yake Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya England na kuweka rekodi ya mchezaji wa kwanza kutoka bara la Asia kutwaa tuzo hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SON HEUNG-MIN MCHEZAJI BORA WA MWEZI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top