• HABARI MPYA

    Thursday, October 13, 2016

    SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA SOKOINE

    Beki wa Simba Method Mwanjali (kushoto) akimtoka kiungo wa Mbeya City, Joseph Mahundi jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Simba ilishinda 2-0
    Beki wa Mbeya City, Rajab Zahir (kushoto) akiondoka na mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Frederick Blagnon
    Mshambuliaji wa Simba, Ame Ally (kulia) akiwania mpira dhidi ya beki wa Mbeya City, Tumba Lui 
    Blagnon (kulia) na beki Janvier Bokungu (kushoto) wakimpongeza mshambuliaji Ibrahim Hajib baada ya kufunga bao la kwanza jana
    Kikosi cha Mbeya City kilichokubali kipigo cha mabao 2-0 jana Sokoine
    Kikosi cha Simbe SC kilichoendeleza ubabe dhidi ya Mbeya City jana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top