• HABARI MPYA

  Sunday, October 16, 2016

  SIMBA NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA UHURU

  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akimka kiungo wa Kagera Sugar ya Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 2-0
  Beki Mkongo wa Simba, Janvier Bokungu (katikati) akipambana na mchezaji wa Kagera Sugar
  Ally Nassoro wa Kagera Sugar (kushoto) akijivuta kupiga mpira mbele ya beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' 
  Shaaban Sunza wa Kagera Sugar (kushoto) akipambana na Nahodha wa Simba, Jonas Mkude
  Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim akiambaa na mpira dhidi ya wachezaji wa Kagera Sugar
  Mpishi wa bao la kwanza la Simba na mfungaji wa bao la pili, Shizza Kichuya akishangilia na wenzake jana baada ya kufunga 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top