• HABARI MPYA

  Saturday, October 08, 2016

  RONALDO AFUNGA NNE URENO YAUA 6-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Cristiano Ronaldo akiifungia bao la kwanza Ureno dakika ya 68 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Andorra kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Manispaaa wa Aveiro mjini Aveiro. Ronaldo alifunga mabao manne jana mengine dakika za pili (2), nne (4) na 47. Katika mchezo huo ambao wachezaji wawili wa Andorra, Jordi Rubio dakika ya 62 na Marc Rebes dakika ya 70 walitolewa kwa kadi nyekundu kwa kumhezea rafu Ronaldo, mabao mengine ya Ureno yalifungwa na Joao Cancelo dakika ya 44 na Andre Silva dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA NNE URENO YAUA 6-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top