Cristiano Ronaldo akimpongeza Marcelo kwa kuifungia Real Madrid bao la tatu katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Real Betis usiku huu Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real Madrid yamefungwa na Raphael Varane, Karim Benzema, Isco mawili na Ronaldo wakati la kufutia machozi la wenyeji lilifungwa na Cejudo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, October 16, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment