• HABARI MPYA

  Wednesday, October 19, 2016

  REAL MADRID YAUA 5-1 NYUMBANI LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Nahodha wa Real Madrid katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne usiku dhidi ya Lagia Warsaw ya Poland Uwanja wa Santiago Bernabeu, Marcelo akishangilia baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 5-1. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Gareth Bale, Marco Asensio, Lucas Vazquez na Alvaro Morato, wakati la wageni lilifungwa na Miroslav Radovic kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Danilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAUA 5-1 NYUMBANI LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top