Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, October 15, 2016

  RAFINHA APIGA MBILI BARCELONA IKIIPIGA DEPORTIVO 4-0 LA LIGA

  Rafinha akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 21 na 36 katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya Deportivo La Coruna leo Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Luis Suarez dakika ya 43 na Lionel Messi dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: RAFINHA APIGA MBILI BARCELONA IKIIPIGA DEPORTIVO 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top