• HABARI MPYA

  Saturday, October 08, 2016

  QUINCY PROMES AFUNGA MAWILI UHOLANZI YASHINDA 4-1

  Quincy Promes (katikati) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Uholanzi mabao mawili dakika za 15 na 31 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Belarus usiku wa jana Uwanja wa Feijenoord mjini Rotterdam kwenye mchezo wa Kundi A. Mabao mengine ya Uholanzi yalifungwa na Davy Klaassen dakika ya 55 na Vincent Janssen dakika ya 64, wakati la Belarus lilifungwa na Alexei Rios PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: QUINCY PROMES AFUNGA MAWILI UHOLANZI YASHINDA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top