• HABARI MPYA

  Friday, October 07, 2016

  MANDZUKIC APIGA HAT TRICK CROATIA YAIFUMUA 6-0 KOSOVO

  Mshambuliaji wa Juventus, Mario Mandzukic akiifungia Croatia bao dakika ya 35 kukamilisha hat-trick yake katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji Kosovo usiku wa jana katika mchezo wa Kundi I kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Loro Borici, mjini Shkoder baada ya awali kufunga dakika za sita (6) na 24. Mabao mengine ya Croatia yalifungwa na Matej Mitrovic dakika ya 68, Ivan Perisic dakika ya 83 na Nikola Kalinic dakika ya 90+2 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANDZUKIC APIGA HAT TRICK CROATIA YAIFUMUA 6-0 KOSOVO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top