• HABARI MPYA

  Tuesday, October 18, 2016

  MAN UNITED WAWAKATALIA LIVERPOOL ANFIELD, SARE 0-0

  Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akiutelezea mpira miguuni mwa Jordan Henderson wa Liverpool usiku wa jana Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAWAKATALIA LIVERPOOL ANFIELD, SARE 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top