• HABARI MPYA

  Saturday, October 15, 2016

  MAN CITY WAKOSA PENALTI MBILI, WAAMBULIA SARE KWA EVERTON ETIHAD

  Romelu Lukaku akiifungia bao la kuongoza Everton dakika ya 64 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Manchester City Uwanja wa Etihad leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kusawazisha la Man City lilifungwa na Nolito dakika ya 72 akimalizia pasi ya David Silva. Katika mchezo huo, Martin Stekelenburg aliokoa penalti mbili za Man City, kwanza ya Kevin De Bruyne dakika ya 43 baada ya David Silva kuangushwa na Phil Jagielka kwenye boksi na baadaye ya Sergio Aguero dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY WAKOSA PENALTI MBILI, WAAMBULIA SARE KWA EVERTON ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top