• HABARI MPYA

    Wednesday, October 19, 2016

    MAHREZ AING'ARISHA LEICESTER CITY LIGI YA MABINGWA

    Mfungaji wa bao pekee la wenyeji Leicester City katika ushindi wa 1-0 dhidi ya FC Copenhagen ya Denmark, Ryad Mahrez (katikati) akishangilia na aliyempa pasi kufunga, Mualgeria mwenzake, Islam Slimani (kushoto) usiku huu Uwanja wa King Power katika mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAHREZ AING'ARISHA LEICESTER CITY LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top