• HABARI MPYA

    Wednesday, October 12, 2016

    LEWANDOWSKI AING'ARISHA POLAND, AIPGA LA USHINDI DAKIKA YA MWISHO YAUA 2-1

    Mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la ushindi timu yake dakika ya 90 na ushei ikiilaza 2-1 Armenia katika mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Narodowy, Warszawa. Hrayr Mkoyan alijifunga dakika ya 48 kuipatia Poland bao la kwanza, wakati bao la Armenia lilifungwa na Marcos Pizzelli dakika ya 50  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LEWANDOWSKI AING'ARISHA POLAND, AIPGA LA USHINDI DAKIKA YA MWISHO YAUA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top