• HABARI MPYA

    Monday, October 17, 2016

    KWANI HUYO CHIRWA HAJIPENDI?

    Beki wa Azam FC, Aggrey Morris (katikati) akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0. Kulia ni kiungo wa Yanga, Deus Kaseke.  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KWANI HUYO CHIRWA HAJIPENDI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top