• HABARI MPYA

    Friday, October 14, 2016

    JORDAN HENDERSON MSHINDI TUZO YA BAO BORA LA MWEZI ENGLAND

    Nyota wa Liverpool, Jordan Henderson akiwa ameshika tuzo yake ya Bao Bora la Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Engkand leo akitoka tu kuwa Nahodha wa England kwa mara ya kwanza ikitoa sare ya 0-0 na Slovenia katika mchezo wa kufuzu kome la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JORDAN HENDERSON MSHINDI TUZO YA BAO BORA LA MWEZI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top