• HABARI MPYA

  Friday, October 07, 2016

  ITALIA WACHOMOA NYUMBANI MBELE YA HISPANIA, SARE 1-1 KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Kiungo wa Italia, Daniele de Rossi akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 82 baada ya  Eder kuangushwa na Sergio Ramos wa Hispania timu hizo zikitoa safre ya 1-1 katika mchezo wa Kundi G kuwania tiketi ya Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi uliofanyika usiku wa jana Uwanja wa Juventus mjini Turin. Hispania walitangulia kwa bao la Vitolo dakika ya 55 akitumia vizuri makosa ya gwiji wa Italia, Gianluigi Buffon PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA WACHOMOA NYUMBANI MBELE YA HISPANIA, SARE 1-1 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top