• HABARI MPYA

    Wednesday, October 12, 2016

    HUYU NDIYE KICHUYA, UKIPENDA MUITE 'SHIZZA MABAO'

    Winga wa Simba SC, Shizza Ramadhani Kichuya akinyoosha mkono kuwapa ishara mashabiki wa Simba baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Mbeya City Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Bao lingine la Simba lilifungwa na Ibrahim Hajib 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUYU NDIYE KICHUYA, UKIPENDA MUITE 'SHIZZA MABAO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top