• HABARI MPYA

  Saturday, October 08, 2016

  GAMEIRO APIGA MBILI, GRIEZMANN MOJA, PAYET MOJA UFARANSA YAUA 4-1

  Kevin Gameiro (kushoto) akishangilia bao lake la pili baada ya kusetiwa na mchezaji mwenzake wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Bulgaria usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Gameiro alifunga dakika za 23 na 38, wakati mabao mengine ya Ufaransa yalifungwa na Dimitri Payet dakika ya 26 na Griezmann dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GAMEIRO APIGA MBILI, GRIEZMANN MOJA, PAYET MOJA UFARANSA YAUA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top